. Liverpool imefikia makubaliano na Dominic Solanke. mshambuliaji huyo anatarajiwa kujiunga na Liverpool baada ya mkaba wake na Chelsea kuisha Jully 1.
Liverpool imetangaza kumpata kwenye tovuti yao siku ya jumanne mchana ambapo Liverpool itatakiwa kulipa ada ya uhamisho inayokadiriwa kuwa ni £3m.
Kwa sasa hivi Dominic yupo na timu ya taifa ya uingereza kwenye fainali za kombe la dunia chuni ya umri wa miaka 20 (20U)
Inamaanika kwamba Chelsea walikua wanataka mchezaji huyo aendelee kusalia Bues lakini ilishindikana kwani walishindwa kufikia makubaliano.
Solanke anakua mchezaji wa pili kuondoka Stamford Bridge baada ya Asmir Begovic (goolkeeper) kutimkia Bournemouth kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kuwa ni £10m
SHIRIKI SHINDANO HILI UJISHINDIE GARI BURE KABISA. BONYEZA LINK HAPO CHINI KUSOMA MAELEKEZO
>>>>>>>>>>Bofya hapa kusoma maelekezo<<<<<<<<<<<
No comments:
Post a Comment