Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya shirikisho timu ya Yanga yapigwa bao nne bila huruma na warabu wa Algeria mchezo wa kwanza ilichezwa hapa Tanzania Yanga walishinda 1 kwa 0 bao lilofungwa na kiunguo wao Mzambabwe (Kamusoko). kazi ili dhaniwa kuwa itakua rahisi ambao walihitaji sare au ushindi ili waweze songa mbele lakini haikuwa hivyo kwani leo wamekubali kunyukwa mabao manne kwa bila
Kessy akifanya yake Taifa wakati Yanga ikiwadhibu Waarabu
No comments:
Post a Comment