Apr 19, 2017
JUVENTUS YALIPIZA KISASI KWA BARCELONA
Katika uefa raundi ya 8 2017, wababe wa ligi ya Italy kwa sasa (Juve) imeshuhudiwa ikilipiza kisasi kwa Barcelona mbayo ili wapiga magoli matatu kwa moja katika fainali za uefa champions leage na Barcelona wakafanikiwa kulichukua kombe hilo, Lakini usiku wa leo 19-04-2017 Juve imewatoa Barca kwa wa jumla ya 3 kwa 0. Katika mchezo wa kwanza Juve waliutumia uwanja wake wa nyumbani vizuri kwa kupata ushindi wa magoli matatu huku Dybala aking'ara katika mchezo huu ambapo alifanikiwa kuchungulia nyavu za Barca mara mbili. Kitu watu wengi walikua wanategemia nikuona Barca akipindua matokeo kama alivyofanya kwa PSG lakini leo amelazimishwa sare ya bila kufungana (0-0)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment