Naitegemea LIVERPOOL itakayokua na MSIMU MUHIMU sana wenye "Kampeni" ya kipekee
>>Amgusia kidogo Brendan Rodgers na kazi ngumu atakayokua nayo.
Mchezaji wa zamani wa Arsenal "Vava Voom" Thiery Henry14 anategemea Liverpool itakayokua na MSIMU MUHIMU zaidi ikiwa na "Kampeni" kubwa na ya Ushindani sana ya kutaka kurudi ktk Champions League baada ya kuipoteza nafac iyo msimu uliopita,akiongea na Skysport anasema Liverpool baada ya kumaliza wa 6 ktk msimamo wa ligi na kua na msimu mbaya na kushindwa fikia lengo la msimu uliopita walipokaribia kuchukua Taji la ligi ambalo wamelikosa kwa miaka 24 sasa.
Na kushindwa kujihakikishia kuwepo UEFA kwa msimu wa pili mfululizo.
Akiendela kusema kua ujio wa Christian Benteke utapunguza kidogo presha kubwa Ings na Origi toka kwa mashabiki mara baada ya kuuzwa Luis Suarez kwa Barcelona na kuumia mfululizo kwa aliekua partner wa Luis ktk mashambulizi Danny Sturridge na kutoweza fanya vizuri kwa wachezaji wageni walioingia,hiyo ilipelekea Manage Brendan Rodgers kua ktk wakati mgumu sana na kupelekea kuitwa na wamiliki wa timu FSG na kufanya maongezi yakawezesha kuendelea na nafasi yake.
"Ni uwendawazimu" kwa Club ka hii kukaa mda mrefu bila kua na Taji la ligi na hii itapelekea kua na presha kubwa sana msimu huu.
Watu watamuuliza Brendan Rodgers mwishoni mwa msmu tokana na jinc alivyoumaliza msimu uliopita,hivyo basi msimu huu ni muhimu sana na kwa Liverpool.
Kama nilivyosema mwanzo kutochukua taji kwa zaidi ya miaka 24,25 au 26 waweza sema ni "Wendawazimu"lkn mambo haya hutokea bila kutarajia.
Lkn Liverpool ni Club KUBWA na yenye HISTORIA ya KIPEKEE kbs,Liverpool ni Club kubwa sana na HAISTAHILI kabisa kua hapo ilipo sasa ukilinganisha na ya msimu wa 2013/2014 ni tofauti na hii ya 2014/2015.
Hivyo basi NAIMANI Liverpool ya msimu huu itakua na msimu mzuri kbs japo utakua msimu mgumu au msimu MUHIMU mno kwao kwa sasa.

by
No comments:
Post a Comment