Mchezaji mpya wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger amesema ameshangazwa na kiwango cha mchezaji mwenzake wa United, Memphis Depay akisema ni mchezaji mwenye kipaji hali ya juu.
Wachezaji wote wapya wa United, walipata nafasi ya kucheza mchezo dhidi ya Club America wiki iliyopita.
Bastian amesema "Memphis ni mchezaji mwenye kipaji cha ajabu na yupo katika ubora unaotakiwa na nina uhakika tutakuwa na ushirikiano bora uwanjani "
No comments:
Post a Comment