PATA GARI LA BURE

PATA GARI LA BURE
bonyeza neno APPLY kwenye picha juu ujishindie gari

Jul 17, 2015

Ipi ni njia nzuri ya kubeti(betting)?


Watu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na michezo mingine. Embu tungalie kwa upande wa mpira wa miguu ambo unaongoza kwakua na mashibiki wengi duniani. Kwa hapa Tanzania kuna makampuni mengi yanayo jihusisha na mechezo ya kubahatisha/bahati nasibuu mfano wa makampuni hayo ni m-bet a meridian ambayo yanaongoza kuwa na wateja wengi.
Tuangangalie kwa uande wa m-bet. Ukifuata hatua hizi utaweza kuwa unashinda katika ubashiri utakaofanya :-
1. usiweke mechi nyingi kwa mkeka mmoja/ticket. Hii ni kwasababu unapoweka mechi nyingi katika mkeka mmoja unapunguza uwezekano wa wewe kushinda. Japo kuwa wengi wanawaza kupata hela nyingi lakini wanasahau kuangalia uwezekano wa kushinda. Ni kweli kwamba ukiweka mechi nyingi ndio hela inaongezeka ila uwezekano wakushinda unapungua, ndiyo maana wenye makampuni hawaruhusu kubeti/kutandika mkeka wa mechi moja .angallia mfano hapo chini

2. Zijue timu unazozibetia/ ambazo unazitabiria : kujua timu kabla ya kubeti ni jambo muhimu sana kwa sababu kunatimu ni mahasimu sana katika ligi fulani. Kwa mfano ligi kuu vodacom wakicheza simba na yanga, hata kama simba akiwa anashika nafasi za mwishoni katika ligi hatakubali kufungwa kirahisi na yanga kwa hiyo mechi itakua naupinzani mkali. Mara nyingi zikikutana timu kama hizi matokeo huishia kuwa droo/draw au utofauti mdogo wa magoli kwa mfano mechi inaweza kuisha 0-0, 1-1, 2-2, na sare nyinine au 1-0, 0-1, 2-1, 3-2. kwahiyo kwa timu kama hizi usibeti kwamba timu fulani itashinda kwa tofauti ya magoli mawili au zaidi. Pia kingine atika kuzijua timu jaribu kuangalia kama kuna timu ni kibonde wa mwingine. Kwa mfano asernal ni mteja wa man united mara kwa mara, kwahiyo jaribu kuangalia nani anamfunga mwenzake mara kwa mara kisha mpe.


3.usibetie timu kwa sababu ya ushabiki: hiki ni kitu cha kuzingatia kwani wengi wwamekua wakibet kwa sababu tu ya mapenzi ya katika timu fulani. Ushauri ni bora usibetie timu unayoipenda kama uwezi kazuia hisia zako, kwani hisia zinamzuia mtu kuichambua timu anoyo ishabikia

4.Angalia goal differences/ tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa: ni vizuri kuangalia tofauti ya magoli kwa zile timu ambazo unataka kuzibetia na hii ni nzuri hususani kwa wale ambao watakua wanabeti kama timu zote zitafunga. Kwa mfano kama timu inamagoli mengi ya kufunga kuliko ya kufungwa ni wazi kwamba timu hii haifungwi mara kwa mara kwa hiyo ikikikutana/kucheza na timu ambayo ina magoli mengi sana ya kufugwa kuliko ya kufunga, hii inaonyesha kuwa hii timu itafungwa bila yenyewe kufunga kwahiyo kama uliweka both team will score “yes” huo mkeka utakua umechanika.
NB: hii haimanishi kwamba itakua hivyo kwa mechi zote ila ni kwamba uwezekano mkubwa/ possibility ipo hivyo 

5. Cheza kwa kiasi mchezo huu. Usiwe na tamaa kwamba unaweza pata pesa nyingi kwa mara moja kwahiyo ukacheza hovyo bila mpangilio, hutaumia. Jaribu kuweka mikakati na mipangilio juu ya uchezaji wako, hakika hutajuta. Cheza mechi chache kwa siku unazoamini zinaweza kukupatia ushindi sio lazima ubashiri mechi nyingi kwa mkupuo. Hii itakusaidia wewe kukupa ushindi mara nyingi

6. Usibashiri kwa mapenzi ama ushabiki, eti kwa kuwa mimi ni mshabiki wa liverpool Fc basi ndo nakuwa naitabiria ushindi kila mara, angalia uwezo wa timu yako dhidi ya timu pinzani kama inaweza shinda na hii itakuwa rahisi endapo utakuwa mfuatiliaji mzuri pia wa ligi ama mchezo unaobashiri

  


22 comments:

  1. Umeongea kitu cha msingi sana bro

    ReplyDelete
  2. Point hiyooo umetugusaaaa!!! Wazee wa mikeka ❤⭐⭐⭐⭐⭐⭐🌙✨✨✨✨💢💢👍👍👍👍👍👍👍👊👊👊👊👊👊👌👌👌👌👌👌👆👆👆👆💪💪💪💪💪💪💪✌✌✌✌✌✌🌴🌴🌴🌴🌵🌵🌵🌵
    🏀🏈🎾⚾⚽🚲🏁®©

    ReplyDelete
  3. Asante endeleni kufuatilia tandika mkeka kila mara kupata info nyingi

    ReplyDelete
  4. sijui jinsi ya kuangalia point.

    ReplyDelete
  5. inamaana timu moja inapewa goli/magoli kwa mfano imeandikwa H (+1) A (0)
    hapo inamanisha timu inayocheza katika uwanja wake wa nyumbani (HOME TEAM) impewa goli moja kwa hiyo kama ulisema timu ya nyumbani itashinda lakini ikatoka draw ya moja moja (1-1) utakuwa mkeka wako umeshinda kwani timu ya nyumbani itakua ina goli moja kwa hiyo matokeo kwako utasoma (2-1) na kama ukitaka kuweka draw kwa kutumia handcap inamanisha ni ya ugenini inabidi ishinde kwa tofauti ya goli moja kwa mfano matokeo uwanjani yanasoma hivi (0-1) hayo matokeo ukiyaleta kwa handcap yatasoma hivi (1-1) kwani timu ya nyumbani ilishapewa goli kabla hata mechi haijanza ila ikitokea timu ya ugenini meshinda kwa zaidi ya tofauti ya goli mbili hiyo itakua si draw bali ndivyo timu ya ugenini inatakiwa kupata ushindi kwa kutumia handcap

    ReplyDelete
  6. Sorry kwenye half time&fultime/2.5/1.5
    Web ya Play master/pm bet.
    Hii
    Inamaana gan??

    1/1 over 2.5/u2.5.

    ReplyDelete
  7. Je kwenye magoli zaidi 7 na9 inamaana gani!

    ReplyDelete
  8. Kwenye prime kuna mahali wameandika haifany/full-time most goal kwa wao wanamaanisha nn maana cwaelew kila natumia hcho kpengele

    ReplyDelete
  9. 0657411986 naomba niungwe kwenye grp la m bet

    ReplyDelete
  10. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  11. Nimependa ulivyoelezea, nimetumia article yako kujibu swali hapa na nika link na post yako.

    ReplyDelete
  12. 0758590431 niuge kwenye group la kubet

    ReplyDelete
  13. Niungeni kwenue grup la kubet 0623116602

    ReplyDelete
  14. Niunge kweny group la kubet 0755744963

    ReplyDelete