PATA GARI LA BURE

PATA GARI LA BURE
bonyeza neno APPLY kwenye picha juu ujishindie gari

May 31, 2017

HAWA NI MASTA 7 WALIOONDOKA KWA MKOPO MSIMU ULIOISHA NA WANATARAJIWA KURUDI MAJIRA YA JOTO

 Ligu kuu ya England kwa sasa imekwisha na vilabu sasa hivi vinajiandaa kwa msimu unao anza kwenye majira ya joto ambapo shinikizo(pressure) ni kubwa kwa mashabiki hususani kipindi hiki cha usajili kwani wanataka vilabu vyao wasajili wachezaji bora. Baadhi ya vilabu vinaonekana kutotaka kutumia pesa nyingi kwa ajili ya usajili bali kurejesha wachezaji wao walio tolewa kwa mkopo. hawa ni baadhi ya wachezaji ambao utawaona kwenye club zao za mwazo kabla ya uhamisho wa mkopo. 
1. Clinton N'jie













 Clinton N'jie alisajiliwa na Tottenham 2015 na kwa sasa yupo  Olympique Marseille. Nafasi anayo cheza ni mshambuliaji. Ni tabia ya  Pochettino (kocha wa Tottenham)kupenda kuwatumia vijana wadogo na Clinton ana miaka 23.

2. Gerard Deulofeu
Muhispania huyu anayekipiga  AC Milan kwa sasa, ataweza kurudi kwenye kikosi cha Everton kwani alikua na msimu mzuri. Uwepo wa Ronald Koeman (kocha wa Everton) Everton utamfanya Deulofeu kurud kwani Everton ni moa ya timu zinazo jaribu kufika top four inashindwa mara kwa mara sasa kutaka kukiongeza nguvu kikosi chake Deulofeu atarudi.

3. Patrick Roberts











Huyu ni kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetolewa kwa mkopo kutoka Manchester City  kwenda Celtic msimu huu ulioisha. Patrick Roberts amekuwa akizungukwa na mafanikio akiwa Celtic na kwa sasa ameshapata ule uzoefu wa ile pressure ya kuwa kwenye team inayo hitaji ushindi.

Pep Guardiola anahistoria nzuri  ya kuwa kocha mwenye kuweza kuwatumia vijana wazawa, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa wa Roberts kurudi Ethad.

4. Bertrand Traore










Bertrand Traore anaonekana kumshawishi Conte kumridisha Chelsea kwani amefanya kazi nzuri na Ajax ambayo ndio timu aliyotolewa kwa mkopo. Traore akiwa Ajax  alifunga magoli 9 kwenye ligi na magoli 4 kwenyeEuropa League. 

5. Joe Hart










  Baada ya kuwa  Torino kwa mwaka mmoja, Joe Hart anajipanga kurudi tena Premier Leagu, swali hapa ni je ataenda Liverpool, Chelsea au Everton kwani amekuwa akihusishwa na vilabu hivi. Pia hakuna dalili yoyote inayoonesha kwamba ataelekea Ethad kwani Licha Claudio Bravo (kipa wa Man City) aliyeletwa kama mbadala wake, alikua na msimu mbaya na Pep Guardiola haonishi nia ya kumrejesha.

6. Joel Campbell










Winga huyu kutokea  Costa Rican winger ambaye ataweza kurejesha Asrenal kama Alexis Sanchez na  Mesut Ozil  wataondoka, kwani  Arsene Wenger atahitaji wachezaji wengine zaidi kuziba nafasi za mbele.

7. Andreas Christensen
Andreas Christensen ametumikia misimu miwili Borussia Monchengladbach kwa mkopo akitokea Chelsea  na kwa sasa ameshejiimmarisha kama moja ya walinzi visiki barani Ulaya. Kuna tetesi kuwa  Barcelona na  Bayern Munich wanahusishwa kuwinda sahihi yake japokua Christenes anapenda kurudi Darajani (Chelsea)

SHIRIKI SHINDANO HILI UJISHINDIE GARI, HEADPHONES,SPEAKER NA SAA BURE KABISA. CHA KUFANYA NI BONYEZA LINK HAPO CHINI KISHA FUATA MAELEKEZO
 >>>>>>>>>>Bofya hapa kusoma maelekezo<<<<<<<<<<<

No comments:

Post a Comment