
Magoli ya Arsenal yamefungwa na
Alexis Sanchez dakika ya 4 na goli la pili lililowapa Arsenal ubingwa ni goli la
Aaron Ramsey dakika ya 79, aliyepokea pasi nzuri kutoka kwa
Olivier Giroud . na goli pekee la chelsea limefungwa na
Diego Costa ambalo lilifungwa dakika ya 76. Arsenal inakua timu ya tatu msimu huu kuchukua moja ya mataji yaliyokuwa yakiwaniwa inchini England, ambapo Chelsea ikichukua kikombe cha ligi kuu, man U akichukua vikpmbe viwili na kikombe kimoja cha Europa wakati Arsenal akichukua kombe la FA.
No comments:
Post a Comment