 |
Jurgen Klop (kocha) |
Liverpool imeanza jitihada za kuipata saini ya kioungo wa RB Leipzig (Naby Keita), imeripotiwa kwamba kocha wa liverpool (Jurgen Klop) akiishinikiza bodi kumnunua huyo mchezaji kwa gharama yoyote
Gazeti la Daily Mirror limeandika kuwa Leipzig imeshikilia ada ya uhamisho kuwa ni £50million. livepool inaonekana imejiandaa kuvuka dau kubwa ya lile la msimu ulioisha, ambalo lilkua ni £38m kwa ajili ya kupata sahihi ya kiungo huyo wa kimataifa mwenye uraia wa Guinea. Inasemekana mazungumzo yanaendelea kwa vilabu vyote. Pia inaonekana liverpool tayari imekubali mshahara unatakiwa na mchezaji huyo ambao unaaminika ni £120,000 kwa wiki. Kitu kinacho ashiria kwamba dili hili linaweza kukamilika ni kuwa, wakali Keita ndio wakala huyo huyo aliye kamilisha dili la Sadio Mane kuamia Liverpool
No comments:
Post a Comment