PATA GARI LA BURE

PATA GARI LA BURE
bonyeza neno APPLY kwenye picha juu ujishindie gari

May 30, 2017

MAN CITY, LIVERPOOL NA CHELSEA ZAPANIA KUBOMOA KIKOSI CHA MONACO

Liverpool ni moja ya vilabu vya EPL ambavyo vimejianda kuharibu kikosi cha Monaco kwa kuwawinda baadhi ya nyota wake katika majira  ya joto. Monaco ambao ni mabingwa wa Ligue 1 na walifika nusu fainali kwenye Champions league, tayari wameshampoteza kiungo wao (Bernardo Silva) ambaye amechukuliwa na Manchester City hivi karibuni. 
Bado Kikosi cha Monaco kitaendelea kuharibiwa kwani wachezaji wanatakiwa na vilabu vikubwa vya soka  barani Ulaya ikiwemo na Liverpool ambayo inamtaka Kylian Mbappe.
             Pia Livepool inapigana vikumbo na Chelsea na Man City kupata sahihi ya beki wa kushoto Benjamin Mendy. leo Gazeti la Ufaransa la L'Equipe limeripoti kuwa Liverpool imeweka wazi kuwa inamuhitaji mlinzi huyo wa pembeni mwenye umri wa miaka 22 ambaye ameonesha kiwango cha juu katika kikosi cha Monaco katika msimu ulio malizika hivi karibuni.
 Pia Livepool imeonyesha kumuhitaji mlinzi wa kushoto wa Fulham (Ryan Sessegnon) kama wakimkosa Mendy, ambapo pia watakutana na mchano mkali kwani beki huyo ambaye anahusishwa na kuhamia Tottenham kama mbadala wa Danny Rose
  Image result for benjamin mendy        


SHIRIKI SHINDANO HILI UJISHINDIE GARI BURE KABISA. BONYEZA LINK HAPO CHINI KUSOMA MAELEKEZO  
 >>>>>>>>>>Bofya hapa kusoma maelekezo<<<<<<<<<<<

No comments:

Post a Comment