Tottenham wamejianda kumpoteza Danny Rose katika majira ya joto ambapo anatarajiwa kutua Manchester United.
Jose Mourinho ambaye amejipanga kusajili mlinzi wa kushoto na jicho lake amelielekeza kwa Danny Rose kama kipaumbele kwa msimu ujao kwani inaonekana mlinzi wa United Luke Shaw milango ipo wazi kwa yeye kuondoka baada ya kupata majeraha ya muda mrefu na ya mara kwa mara.

SHIRIKI SHINDANO HILI UJISHINDIE GARI BURE KABISA. BONYEZA LINK HAPO CHINI KUSOMA MAELEKEZO
>>>>>>>>>>Bofya hapa kusoma maelekezo<<<<<<<<<<<
No comments:
Post a Comment