Jürgen KLOPP asema
"MELWOOD NI MAKAO MAKUU YA MPIRA"
>>Ni Marufuku ss kwa Wachezaji kutembelewa au Kuja na Wake zao au Marafiki wao wa Kike.
>>Ni Marufuku kutumia mitandao ya Kijamii(social network) mara tu uingiapo Melwood.
>>Apunguza mapumziko na kuongeza mda wa kufanya mazoezi zaidi.
Jürgen KLOPP akitambulisha maisha mapya sasa ktk Club ya Liverpool na
kuweka masharti mapya kadhaa,asema Melwood ni Uwanja wa mazoezi na si
sehem ya kuja na wake zenu au marafiki zenu wa kike.
Pia aweka
wazi mda wa wachezaji wote kufika mazoezini,KLOPP aliwaambia "Melwood ni
Makao Makuu ya Mpira" mambo ya kutumia mitandao ya kijamii(social
network)basi yafanyike nje ya Melwood.
Na akiendelea
kusema,unapokua Melwood basi jua uko eneo la kazi na kinachotakiwa ni
kufikiria ni kufanya kazi zaidi tu,na si vinginevyo.
Akiwaweka wazi
zaidi kama alivyokua akifanya Borrusia Dortimund (BvB) ni kua kuanzia ss
wake na marafiki zao wa Kike hawataruhusiwa kufika hapo wakati wa
mazoezi labda tu kama kutajitokeza taarifa nyingine.
Mjerumani
huyo pia amewafahamisha kua mda wa mapumzimko umepungua zaidi na
kuongezwa kwa mda wa kufanya mazoezi zaid,KLOPP amekusudia kabisa sasa
kuirudisha LIVERPOOL ktk enzi zake na kuifanya kua moja ya timu ngumu
sana kupambana nayo katika ligi kuu ya Backleys(BPL)
Kwa sasa
tutafanya mazoezi kwa vipindi viwili na kwa mda mrefu kadri
itakavyowezekana katika kuongeza nguvu zaidi kama alivyokua akifanya na
BvB,aliongeza Mjerumani huyo mwenye umri wa miaka 48 sasa
No comments:
Post a Comment