PATA GARI LA BURE

PATA GARI LA BURE
bonyeza neno APPLY kwenye picha juu ujishindie gari

Oct 17, 2015

Alex Sanchez

Zilitoka ripoti kwamba Real Madrid wanaandaa
pesa kwa ajili ya kumsajili mchezaji ambae
anatoa msaada mkubwa kwenye kila ushindi wa
Arsenal hivi sasa Alex Sanchez.
Real Madrid inasemekana wameshatenga fungu
kwa ajili ya kupata huduma ya mchezaji huyu
kwenye club yao. Sasa Sanchez amezungumza
kwenye chombo cha habari na kujibu hizi tetesi.
“Nina furaha sana kwa sasa ndani ya Arsenal,
sifikirii kuhama Arsenal kwa sasa. Siku zote
nataka kufanya vizuri kwenye kila
ninachokifanya, nafurai sasa hivi nafanya zaidi
ya nilivyotaka kuonyesha siku zote.”. Haya ni
maneno ya Alex Sanchez baada ya kuulizwa
kuhusu tetesi za kusepa Arsenal na kujiunga na
Real Madrid

No comments:

Post a Comment