PATA GARI LA BURE

PATA GARI LA BURE
bonyeza neno APPLY kwenye picha juu ujishindie gari

Apr 19, 2017

JUVENTUS YALIPIZA KISASI KWA BARCELONA

Katika uefa raundi ya 8 2017, wababe wa ligi ya Italy kwa sasa (Juve) imeshuhudiwa ikilipiza kisasi kwa Barcelona mbayo ili wapiga magoli matatu kwa moja katika fainali za uefa champions leage na Barcelona wakafanikiwa kulichukua kombe hilo, Lakini usiku wa leo 19-04-2017 Juve imewatoa Barca kwa wa jumla ya 3 kwa 0. Katika mchezo wa kwanza Juve waliutumia uwanja wake wa nyumbani vizuri kwa kupata ushindi wa magoli matatu huku Dybala aking'ara katika mchezo huu ambapo alifanikiwa kuchungulia nyavu za Barca mara mbili. Kitu watu wengi walikua wanategemia nikuona Barca akipindua matokeo kama alivyofanya kwa PSG  lakini leo amelazimishwa sare ya bila kufungana (0-0)


Apr 15, 2017

MATOKEO YA LEO EPL 15/04/2017


YANGA YATIA AIBU UGENINI

Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya shirikisho timu ya Yanga yapigwa bao nne bila huruma na warabu wa Algeria mchezo wa kwanza ilichezwa hapa Tanzania Yanga walishinda 1 kwa 0 bao lilofungwa na kiunguo wao Mzambabwe (Kamusoko). kazi ili dhaniwa kuwa itakua rahisi ambao walihitaji sare au ushindi ili waweze songa mbele lakini haikuwa hivyo kwani leo wamekubali kunyukwa mabao manne kwa bila



Kessy akifanya yake Taifa wakati Yanga ikiwadhibu Waarabu 


KIKOSI CHA YANGA SC LEO DHIDI YA MC ALGER.


1. Deogratius Munishi
2. Hassani Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Nadir Haroub
6. Saidi Juma
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Donald Ngoma
10. Haruna Niyonzima
11. Deusi Kaseke

Akiba
- Beno Kakolanya
- Vicent Andrew
- Juma Andul
- Juma Mahadhi
- Geofrey Mwashuiya
- Amisi Tambwe
- Emanuel Martin

Apr 13, 2017

SIMBA SC YAJIPATIA POINT 3 MEZANI


Baada ya kamati ya s𝘢𝘢 𝟳𝟮 kukaa na kupitia ushahidi wote juu ya malalamiko yaliyotolewa na Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Simba SC imepewa pointi 3 na magoli 3 na Kagera Sugar kukatwa point 3,
Msimamo wa ligi unakua kama ifuatavyo: