>>Hii kitu ni muhimu sana kwangu na jopo langu la ufundi.
Nyie(mashabiki)MNA nafasi kubwa sana ktk mchezo,nanyi mnatakiwa mcheze kwa nafasi yenu.
Katika kile tunachotegemea kukipata basi nyinyi MNA mchango mkubwa sana.
Nyie ni Mashabiki wa tofauti sana Duniani,na hua mnaifanya Anfield kua ni Uwanja wa KIPEKEE na wenye HAMASA KUBWA SANA.
Basi naamini tukiungana kwa pamoja tutafanikiwa ktk lengo letu tunalotaka kufikia,na hasa ktk kutimiza malengo yetu.
Tunatakiwa kufurahi na kujivunia mafanikio makubwa ya Club hii iliyonayo,mpira ni sehem KUBWA ya kufurahi na tunatakiwa kufikia malengo makubwa ya muda wote ya Taasisi hii.
Wachezaji watakwenda pigana kwa ajili yenu na kuwakilisha Club na Jiji hili.
Na hivi ndio tunatakiwa kufanya kazi ktk kukamilisha jukumu letu.