1. Clinton N'jie
Clinton N'jie alisajiliwa na Tottenham 2015 na kwa sasa yupo Olympique Marseille. Nafasi anayo cheza ni mshambuliaji. Ni tabia ya Pochettino (kocha wa Tottenham)kupenda kuwatumia vijana wadogo na Clinton ana miaka 23.
2. Gerard Deulofeu
Muhispania huyu anayekipiga AC Milan kwa sasa, ataweza kurudi kwenye kikosi cha Everton kwani alikua na msimu mzuri. Uwepo wa Ronald Koeman (kocha wa Everton) Everton utamfanya Deulofeu kurud kwani Everton ni moa ya timu zinazo jaribu kufika top four inashindwa mara kwa mara sasa kutaka kukiongeza nguvu kikosi chake Deulofeu atarudi.2. Gerard Deulofeu
3. Patrick Roberts
Huyu ni kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetolewa kwa mkopo kutoka Manchester City kwenda Celtic msimu huu ulioisha. Patrick Roberts amekuwa akizungukwa na mafanikio akiwa Celtic na kwa sasa ameshapata ule uzoefu wa ile pressure ya kuwa kwenye team inayo hitaji ushindi.
Pep Guardiola anahistoria nzuri ya kuwa kocha mwenye kuweza kuwatumia vijana wazawa, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa wa Roberts kurudi Ethad.
4. Bertrand Traore
4. Bertrand Traore
Bertrand
Traore anaonekana kumshawishi Conte kumridisha Chelsea kwani amefanya kazi nzuri na Ajax ambayo ndio timu aliyotolewa kwa mkopo.
Traore akiwa Ajax alifunga magoli 9 kwenye ligi na magoli 4 kwenyeEuropa League.
5. Joe Hart
Baada ya kuwa Torino kwa mwaka mmoja, Joe Hart anajipanga kurudi tena Premier Leagu, swali hapa ni je ataenda Liverpool, Chelsea au Everton kwani amekuwa akihusishwa na vilabu hivi. Pia hakuna dalili yoyote inayoonesha kwamba ataelekea Ethad kwani Licha Claudio Bravo (kipa wa Man City) aliyeletwa kama mbadala wake, alikua na msimu mbaya na Pep Guardiola haonishi nia ya kumrejesha.
6. Joel Campbell
Winga huyu kutokea Costa Rican winger ambaye ataweza kurejesha Asrenal kama Alexis Sanchez na Mesut Ozil wataondoka, kwani Arsene Wenger atahitaji wachezaji wengine zaidi kuziba nafasi za mbele.
7. Andreas Christensen
SHIRIKI SHINDANO HILI UJISHINDIE GARI, HEADPHONES,SPEAKER NA SAA BURE KABISA. CHA KUFANYA NI BONYEZA LINK HAPO CHINI KISHA FUATA MAELEKEZO
>>>>>>>>>>Bofya hapa kusoma maelekezo<<<<<<<<<<<